Mike Moe JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 319 Reaction score 335 Jan 23, 2025 #1 Wataalamu wa mambo naomba kujuzwa kuhusu ununuaji wa hisa za DCB, na mnazionaje kwa mwaka 10 mbele vipi kuna uwezekano wa kupata faida kubwa
Wataalamu wa mambo naomba kujuzwa kuhusu ununuaji wa hisa za DCB, na mnazionaje kwa mwaka 10 mbele vipi kuna uwezekano wa kupata faida kubwa
Awakener The Lone Wolf JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 230 Reaction score 198 Jan 23, 2025 #2 Wajuvi wa mambo njooni huku
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 24, 2025 #3 Ngoja waje