Imekua vizuri kwa sababu nadhani wamepunguza waviziaji ambao hurukia hisa ili kutengeza pesa za chapuchapu kwa mamilioni. Hii hisa ingekua vizuri kuanzia kati ya Dola moja na Kumi, kiasi hata watumiaji wake wapate uwezo wa kuwekeza katika kitu wanachotumia. Hata hivi kunawaviziaji kama vile (Hedge Funds) wamekausha. Wanaonunu hisa kwa kuafuata uvumi, ndio walokula mwata na kukimbia. Hii Kampuni haindi popote angalau sio sasa hivi. Mwenye uwezo wa kununu anunue. Hivi karibuni wamechuma Dola Bilioni Moja, lakini nadhani hawapendi thamani ya hisa yao isikurupushwe kwa uvumi.