Hisa za kampuni ya sigara

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
382
Habari wakuu,

Naombeni msaada wenu wenye kujua hisa za kampuni ya sigara ni shilingi ngapi maana nataka kununua.

Thanks kwa msaada.
 
Kati ya kampuni zinazoongoza kwa kulipa dividends ni kampuni ya Sigara. Sina hakika sana ila hisa moja ni kama Shs 15,000. nakushauri nunua hisa za sigara na hutapoteza fedha zako na zitazidi kukua. Mimi siku hizi najuta kwa nini nilinunua hisa 1000 tu?.
 
Hapa kuna kitu,post imewekwa tarehe 3 December na wewe umejiunga tarehe 3 December,na kuipigia Debe kampuni ya sigara.
Haya ngoja tusubiri mwingine,maana Ugoro kaishafanya yake
Lakini mjue pia kwenda Ocean Road Hospital kutoa sadaka ya tiba kwa wagonjwa wa Cancer,maana na nyie mnahusika kudhulumu afya za wenzenu.Mtaulizwa mbele ya mungu,msiangalie pesa tu
 

Umenigusa Mkuu. Nina hisa za TBL naona niziuze tu ila sijui utaratibu ukoje. Niliwahi kusikia eti zimeanza kushuka bei, sijui kwa sasa hali ikoje.
 
huwezi kununua hisa za sigara zipo juu sana
 
Naomba kujua mchannganuo wa hisa mpaka mpaka kupatikana faida
 

Kweli kabisa.
 
TCC, TBL, TWIGA kuzipata ni kazi kubwa sana, maana wanaozitafuta ni wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…