Hisa za makampuni ya simu

Hisa za makampuni ya simu

Mikeyy

Senior Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
106
Reaction score
35
Wadau nimesikia hisa za makampuni ya simu zinaanza kuwa listed kwenye DSE january, tulioko mikoani tunazipataje?
 
Safi...tungeambiwa pia kama tutaweza kununua hisa kupitia mitandao
 
Back
Top Bottom