Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Jul 18, 2023 #1 Kwa wanunuaji na wauzaji wa hisa; nielewesheni hisa za TCC and TBL zimelalaje for almost 2 years now when watu pombe na sigara Km kawa tu? Kuna nn hapo?
Kwa wanunuaji na wauzaji wa hisa; nielewesheni hisa za TCC and TBL zimelalaje for almost 2 years now when watu pombe na sigara Km kawa tu? Kuna nn hapo?
M mamanzi Member Joined Dec 24, 2022 Posts 26 Reaction score 85 Jul 18, 2023 #2 Achana nao, nenda UTT hautojutia