besaro
Member
- Nov 9, 2015
- 52
- 40
Habari zenu wapambanaji wenzangu.
Kwa Leo ninayo machache juu ya mambo ya hisa za vodacom.
Tunajua ni jinsi gani zilipigiwa upatu kuwa biashara itakayokuja kututoa kimasomaso lakini kwa sasa habari sio nzuri sana kwa walionunua hisa bei imeporomoka kutoka 850( bei ya kununulia) hadi 770 bei ya hisa kwa sasa hapo ni bila makato yake so huu ni muda wa kujaribu kucheki fursa nyingine