Kushuka na kupanda kwa hisa kunatokana na msukumo wa soko la hisa husika. Kwa kuwa soko hilo lina wanunuzi wengi na wauzaji wengi wasiofahamiana husemekana kuwa bei inayopatikana sokoni ndio bei halisi ya hisa husika. Kinachotokea ni kwamba, ikitokea watu wengi wanaomiliki hizo hisa wameingia sokoni ili kuuza hisa zao (kukawa na idadi kubwa ya hisa zinazo uzwa) na wakati huohuo kukawa na watu wachache wanaotaka kununua hisa hizo (hisa chache zinatakiwa). Huu wingi wa hisa zinazouzwa utailazimisha bei ya hisa kushuka. Fikiri katika namna rahisi, jana chungwa liliuzwa shg 150, leo machungwa toka shamba yaneletwa kwa wingi sokoni na wanunuzi ni wachache, kuna uwezekano mkubwa yakauzwa shg 100. Kupanda kutatokea pale ambapo hisa zinazouzwa ni chache lakini zinazo hitajiwa na watu ni nyingi.Naomba kujua ni vitu gani vinasababisha kupanda na kushuka
Habari zenu wapambanaji wenzangu.
Kwa Leo ninayo machache juu ya mambo ya hisa za vodacom.
Tunajua ni jinsi gani zilipigiwa upatu kuwa biashara itakayokuja kututoa kimasomaso lakini kwa sasa habari sio nzuri sana kwa walionunua hisa bei imeporomoka kutoka 850( bei ya kununulia) hadi 770 bei ya hisa kwa sasa hapo ni bila makato yake so huu ni muda wa kujaribu kucheki fursa nyingine
Kushuka na kupanda kwa hisa kunatokana na msukumo wa soko la hisa husika. Kwa kuwa soko hilo lina wanunuzi wengi na wauzaji wengi wasiofahamiana husemekana kuwa bei inayopatikana sokoni ndio bei halisi ya hisa husika. Kinachotokea ni kwamba, ikitokea watu wengi wanaomiliki hizo hisa wameingia sokoni ili kuuza hisa zao (kukawa na idadi kubwa ya hisa zinazo uzwa) na wakati huohuo kukawa na watu wachache wanaotaka kununua hisa hizo (hisa chache zinatakiwa). Huu wingi wa hisa zinazouzwa utailazimisha bei ya hisa kushuka. Fikiri katika namna rahisi, jana chungwa liliuzwa shg 150, leo machungwa toka shamba yaneletwa kwa wingi sokoni na wanunuzi ni wachache, kuna uwezekano mkubwa yakauzwa shg 100. Kupanda kutatokea pale ambapo hisa zinazouzwa ni chache lakini zinazo hitajiwa na watu ni nyingi.
so who decides zipande au kushuka?
Demand and supply, I.e. market forcesso who decides zipande au kushuka?
wanaouza na kununua hisa (demand and supply)so who decides zipande au kushuka?