Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 166
- Thread starter
-
- #21
Most IPOs watu wanakua wamesha overprice hisa fuatilia utagundua hilohisa zikishaingizwa sokoni DSE ndio tutajua kama wameziover value au la.......
hisa za voda zimeshaanza kuonyesha shaka demand ni ndogo sana hazijauzika Zaidi ya nusu hiyo ni ishara zitadrop sana miezi michache ijayo zitafika mpaka sh 500 per hisa au chini ya hapo walionunua kwa tsh 850 wamekula hasaraMost IPOs watu wanakua wamesha overprice hisa fuatilia utagundua hilo
Hapo tunaangalia book value na hy formula ndo maana nimesema nimetmia Firm foundation Theory. Soma vzr.Mleta mada kwanini unawaaminisha watu hiyo formula yako ya kupima net assets!?
How the hell uunganishe INTANGIBLE ASSETS na LIABILITIES ndipo utoe kwenye TOTAL ASSETS? ina maana INTANGIBLE ASSETS za voda sio parts of the current "IPO" (Initial Public Offer "!?
Kumbuka kampuni ya Vodacom wanamiliki billions of intangible assets kwenye M-PESA na M-PAWA ambazo ni sehemu ya hisa zinazouzwa.
Nami nakusikitikia wewe kama hadi " IPO" inafungwa utakuwa bado una hiyo imani potofu!
fedha zilizoko kwenye m pesa ni liabilities sio assets mkuu hizo ni pesa za wateja sio pesa za vodacomkwa tafsiri ya haraka haraka biashara ya M pesa ndio inswaboost ambapo inapnekana watu wamehifadhi pesa zao kwenye simu kadiri ya bilioni. Mia nane...
Hizo hisa ziko over valued.
Vodacom Hawana Minara siku hizi...unajua thamani ya minara nchi nzima?
kumbuka hata Goodwill, Brands, Trademark, ni Intangible Asset...Mleta mada kwanini unawaaminisha watu hiyo formula yako ya kupima net assets!?
How the hell uunganishe INTANGIBLE ASSETS na LIABILITIES ndipo utoe kwenye TOTAL ASSETS? ina maana INTANGIBLE ASSETS za voda sio parts of the current "IPO" (Initial Public Offer "!?
Kumbuka kampuni ya Vodacom wanamiliki billions of intangible assets kwenye M-PESA na M-PAWA ambazo ni sehemu ya hisa zinazouzwa.
Nami nakusikitikia wewe kama hadi " IPO" inafungwa utakuwa bado una hiyo imani potofu!
How! Ina maana vocha za Vodacom ni liability?fedha zilizoko kwenye m pesa ni liabilities sio assets mkuu hizo ni pesa za wateja sio pesa za vodacom
Vodacom nowdays hawana Minara...Hapo kn Total assets kuna thaman ya minara ndani
Tofautisha E-money as intangible assets na hizo unazotaja mkuu! Mbona rahisi tu!kumbuka hata Goodwill, Brands, Trademark, ni Intangible Asset...
kwenye kutafuta Thamani halisi ya kampuni zinaondolewa....!
ndo maana zimekuwa excluded...
kasome IFRS 1 na IAS's..utaelewa zaid..
kwann unasema E-Money ni intangible..!?Tofautisha E-money as intangible assets na hizo unazotaja mkuu! Mbona rahisi tu!
Naomba nijifunze kutoka kwako maelezo ya kina ya "do your homework first before making any financial decision".Umechanganua vizuri sana. Hii ndio maana halisi ya msemo wa 'do your homework first before making any financial decision'
ambayo huwa tunaambiwa mara kwa mara!
OkVodacom nowdays hawana Minara...
waliiuza kwa Helios Towers..
kuna kitu kinaitwa SALE AND LEASEBACK ndo kimefanyika...
Sasa dogo sijui utakuwa chuo mwaka wa3 wewe, unatuambia mambo ya ias na ifrs, hayo maifrs na maias hayakufundishi jinsi ya kutafuta value ya kampuni yanakufundisha jinsi ya kuripoti taarifa za fedha tukumbuka hata Goodwill, Brands, Trademark, ni Intangible Asset...
kwenye kutafuta Thamani halisi ya kampuni zinaondolewa....!
ndo maana zimekuwa excluded...
kasome IFRS 1 na IAS's..utaelewa zaid..
Kiukweli voda wamewapiga watu changa la macho kibaya zaidi hawajafikisha mauzo hata ya 50% ya capital waliotaka kuraise. in real sence kuraise around 500bil is huge in TanzaniaMleta mada kwanini unawaaminisha watu hiyo formula yako ya kupima net assets!?
How the hell uunganishe INTANGIBLE ASSETS na LIABILITIES ndipo utoe kwenye TOTAL ASSETS? ina maana INTANGIBLE ASSETS za voda sio parts of the current "IPO" (Initial Public Offer "!?
Kumbuka kampuni ya Vodacom wanamiliki billions of intangible assets kwenye M-PESA na M-PAWA ambazo ni sehemu ya hisa zinazouzwa.
Nami nakusikitikia wewe kama hadi " IPO" inafungwa utakuwa bado una hiyo imani potofu!
Hahaha nimeipenda hii. Ukweli mtupuMimi nikiwa na idle money huwa naendaga kununua shamba napanda miti Iringa na Mbeya kama mwehu vile kwa sasa nina jumla ya heka 15 za pine trees, mambo ya kumpa hela mwenzio ili akutengenezee faida nakosaga amani nayo sana.
So kweli hiyo ni nadharia, at least kwenye kutoa mikopo mama financial institution ndiyo kuna kiasi wanatakiwa wawe nacho kama cash kabla hawajaanza kukopesha, na kiasi hicho wala hakilingani na kile wanacho kopesha, hiyo inaitwa loan to deposit ratio.How! Ina maana vocha za Vodacom ni liability?
The fact is that, kama E-money wa wateja ni 1 billion, then lazima Vodacom wamiliki kiasi hicho pia! Hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya Banking and financial institutions!