LEO VII
Senior Member
- Feb 7, 2013
- 118
- 34
Msaada Wa kimawazo tafadhali, wajasiliamali tunaamini moja kati ya rasilimali za kumiliki ni HISA, Mimi sina uzoefu kabisa kabisa kuhusu HISA, ntapataje uzoefu?, Je kampuni gani zinalipa vizuri? Vitu gani vya kutilia mkazo? Hasara zake ni zipi? Nawasilisha wakuu..