sasa consider application ya hisabati na critical thinking kwenye maisha yetu ya kila, ni kipi kinapewa kipaumbele huwezi kukuta ni hesabu.
bado nasisitiza ni kutokujua ndio kunasababisha hatuipi kipaumbele falsafa katika maisha yetu ya kila siku. angalia mfn ufuatao,
matatizo ya kijamii - yanapelekea critical thinking - inapelekea application of different solns mojawapo ni hesabu halafu suluhu ya matatizo.
hapa unafikiri kipi ni muhimu kusisitizwa kufundishwa, critical thinking ndyo inayoleta hesabu kutumika if necessary.
haya ni mawazo yangu.
Nadharia kwenye somo la hisabati, huweza kukusaidia kuelewa (kwa urahisi) mambo mengi ya kila siku katika jamii.
Somo la statistics kwa mfano linajitokeza katika "mawasiliano" ya kila siku ya serikali, taasisi mbali mbali na jamii. Kutoelewa kwako mean, median, standard deviation au hata Simpson's paradox kunaweza kukufanya wewe kushindwa kuelewa taarifa muhimu zinazokuhusu
Zakumi,Si lazima uwe na mwalimu mzuri katika kila stage. Kwa nchi kama Tanzania or for that matter, any other African country, itabidi uchukuwe wajanja wote wakafundishe.
Katika makuzi ya mtoto kuna critical period ambacho mtoto au mwanafunzi anatakiwa awe na watu makini wa kumfundisha. Katika kipindi hicho, wanafunzi wengi wa Tanzania wanakuwa wanasahauliwa.
Zakumi,
..YES, I agree with u kwamba siyo lazima uwe na mwalimu mzuri wa hesabu ktk kila stage.
..the correct statement should have been: kuna stage[wewe unaita critical stage] ambayo mwanafunzi akipata mwalimu mzuri/mbaya anaweza kuwa swayed kwenda kuzipenda/kuzichukia hesabu. now, i can not say exactly what that stage is.
..kama mzazi, I am very curious kujua hicho kipindi ambacho wewe umesema ni CRITICAL STAGE.
Sasa kumbe mpo wenzetu unaelewa mambo. Kwanini basi msijitolee kwenye miradi ya kuinua somo hili? Au mpaka sirikali ?
Hebu tuelezane, miradi hiyo ya kuinua somo tajwa ni kama ipi? Manake japo kama wengine si wataalamu wa somo tajwa, waliokuwa wataalamu wanaweza kufaidika na majadiliano juu ya miradi hiyo
Sangarara ,
Mbali na somo la takwimu, nadharia kwenye somo la probability zinatakiwa kukusaidia wewe kwenye uamuzi wako wa mambo mbali mbali katika maisha yako ya kila siku na sio kutumia intuition pekee.
Kwa mfano, unapoambiwa mabasi ya Abood yamesababisha ajali mbili kati ya safari zake 20 ilizofanya, na mabasi ya Mohammed Trans yamesababisha ajali 5 kati ya safari zake 150 ilizofanya, unatakiwa utumie hesabu za probability hapo kuangalia yapi yapo salama zaidi ili uweze kufanya uamuzi wako wa lipi la kupanda (Kama usalama wako ni muhimu).
Na vile vile unapofanya maamuzi katika biashara, na mambo mengine ya kijamii, nadharia hiyo ya probability inatumika.
Kwa mfano hapa kwetu Marekani, kuna libraries kila kona. Na kuna watu wanaojitolea kufundisha watu masomo mbalimbali.
Je unaweza kujitolea kufundisha statistics kwa watanzania wenzako.
Tushirikiane basi kujenga libraries kila kona Tanzania.
Hilo la kufundisha, nilishajitolea na kufundisha katika shule ya kata mtaani kwetu, enzi nilipokuwa kijana na nguvu zangu.
Sasa hivi jamii inanitarajia nitoe mchango wa "mkubwa" zaidi
Watanzania si mmeamini kuwa shida ni mama wa uvumbuzi?
Hebu tuelezane, miradi hiyo ya kuinua somo tajwa ni kama ipi? Manake japo kama wengine si wataalamu wa somo tajwa, waliokuwa wataalamu wanaweza kufaidika na majadiliano juu ya miradi hiyo
Sangarara ,
Mbali na somo la takwimu, nadharia kwenye somo la probability zinatakiwa kukusaidia wewe kwenye uamuzi wako wa mambo mbali mbali katika maisha yako ya kila siku na sio kutumia intuition pekee.
Kwa mfano, unapoambiwa mabasi ya Abood yamesababisha ajali mbili kati ya safari zake 20 ilizofanya, na mabasi ya Mohammed Trans yamesababisha ajali 5 kati ya safari zake 150 ilizofanya, unatakiwa utumie hesabu za probability hapo kuangalia yapi yapo salama zaidi ili uweze kufanya uamuzi wako wa lipi la kupanda (Kama usalama wako ni muhimu).
Na vile vile unapofanya maamuzi katika biashara, na mambo mengine ya kijamii, nadharia hiyo ya probability inatumika.
Kwa Tanzania shida haileti maarifa.
Ongera kwa kutumia muda wako na kuweza kufundisha. Fimbo ya mbali haiui nyoka. Sipo Tanzania kwa muda mrefu. Niliwahi kuanzisha online group na watanzania fulani hili tuandike vitabu vya kusaidia watanzania katika lugha yao. Nilitumia wiki kuandaa website, lakini ilipokamilika watu wote walipotea.
Hiyo ilinikatisha tamaa na nimehamua kuwa mpiga soga tu.
Gaijin
Hizi takwim zinapatikana wapi? au umezitengeneza hapa kwa ajili ya kujenga hoja? msingi wa kelele zangu ni kwamba hata wale wanaotakiwa kutengeneza takwimu za namna hii for public consumption hawatengenezi so what bother us with mathematics?
sisi. hata hiyo critical thinking, do we real think critically?
hatujajengwa kuthink critical this is the reason i advise critical thinking to be taught from primary schools.
kiongozi, kutafakari kwa kina si jambo rahisi linahitaji kufundishwa mbinu na namna ya kutafakari. kwa hiyo hatuko hivyo kwa sababu hatujajengwa kuwa hivyo.