Hisani Yangu... (Listen)..

Very Cool Tune Mkuu.... Nani kaimba, katunga ?
Kama ni wewe then you have got talent....
Ukiweka zile message zako za kupinga ufisadi kwenye this form basi message itafika zaidi
 
zoukmwambao kali sana hili.

Hongera sana, mpe sugu beat hiyo ili aweke mistari ya hamasa.
 
Hongera sana. Kwa nini usipande jukwaani? Mbona umekamilika kisawasawa!
 
Bonyeza Hapa Kusikiliza Wimbo Huu. Unaruhusiwa kuudedicate kwa umpendaye J'pili hii:

HISANI YANGU
http://www.box.net/shared/zlp2stpm8v


MMM ahsante sana...nimeu-download huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya dkk 20 non-stop na natafuta cha kusema hakuna

It is real amazing na umetulia...una utamu wa pekee kuanzia kwenye maneno, mpangilio wa sauti na mpangilio wa muziki

Nausikiliza hapa na familia wametulia nao wanausikiliza...wameupenda ni mtamu sana

Thanks MMM
 
Kwa kweli yanauma yanatia uchungu, sitaki kujikera kila kucha balaa nazushiwa binadamu hawana wema!
 
sorry.. jamani siyo wa kwangu.. na miye nilitumiwa hivyo; ila na mimi nikanda jukwaani mafisadi si ndio tutakuwa tumeongeza ugomvi. Tangu nilipousikia na mimi namtafuta mtunzi na waimbaji.. bado sijapata uhakika.
 
sorry.. jamani siyo wa kwangu.. na miye nilitumiwa hivyo; ila na mimi nikanda jukwaani mafisadi si ndio tutakuwa tumeongeza ugomvi. Tangu nilipousikia na mimi namtafuta mtunzi na waimbaji.. bado sijapata uhakika.
Ukimpata mtunzi mpe hongera zake :A S-omg:!!!
 
duuuhh
asante sana dear..
(real player) so i can listen again and again ...
thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…