TV4Sale Hisense (2020 TV) A7 series 50" inauzwa (Million 1.1)

TV ni yako ama? Kama yako, ulinunua mpya? Ina muda gani toka ununue? Pia weka picha za screen tuone.
 
Tv ni yangu nilinunua mpya na ina risiti, ina week 3 tangu ninunue.

Picha hii hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1731443
1.1 uko mbali mkuu.

Kwa hapa Dar 55" mpya zinauzwa 1.1 na 1.15.

50" ni kati ya 1.0 hadi 1.1 mpya.

Wewe ya kwako ushaitumia hata kama ni siku moja hiyo sio mpya tena.

Weka bei kuanzia 0.8 hadi 1.0, ukipata mtu hapo kati chukua fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…