Tv iko vizur Boss, 800 inakuw haina maslahi, ongeza kidogo mkuu tufanye biashara.Mkuu kula 800k iko mfuko wa Shati hapa.
Sawa Boss.Nitakucheki
Yeah, tena ukiangalia TV inasaidia kupunguza stress.Kwa hali hii.........Tv tena?!
Ndyo south AfricaWakuu kunanchi nyingine inayotengeneza izo tv za hinsese tofauti na china?