Hisense 32nchi smartTV 350k tu

Hisense 32nchi smartTV 350k tu

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote.
IMG-20230702-WA0004.jpg
IMG-20230702-WA0008.jpg


Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k
Haina kasoro kama unahitaji nipigie 0625547181
 
Sasa hiyo mpya dukani ni 300k wewe mbona umeongeza sana..
 
Jamaa anauza kwa issue ya dharula wengi wanachukulia utani, na hawa wanaoleta utani ni vijana wa ovyo, wanatumia free WiFi.
 
Back
Top Bottom