Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Swali limejibiwa chini hapoKwann unauza
Acha uongo bei ya jumla ndo 330k na penyew uchukue pc kadhaaDukani mpk 280k
pole sanaKuna mgonjwa yupo hospitali
Hii ni smart TV mkuuSasa hiyo mpya dukani ni 300k wewe mbona umeongeza sana..
Unataka wewe nikudai 50k?Nakushauri uza 300k uitoe haraka
Nimetoa ushauri tu sihitaji Lampard alinifungia Hisense LED 43 inches na wall bracket kwa 550,000 TV zimeshuka so nilikua nasaidia tu kama kweli una shida.Unataka wewe nikudai 50k?
Asante mkuuNimetoa ushauri tu sihitaji Lampard alinifungia Hisense LED 43 inches na wall bracket kwa 550,000 TV zimeshuka so nilikua nasaidia tu kama kweli una shida.