The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Jamaa hajakujibu sio kwamba hataki biashara ila ww hauko serious 😂Bei ngap mkuu? 35k vp?
Em tuambie shehe bei ya huo ubao utanunua sh ngap manake hapo hamna tv tena...Jamaa hajakujibu sio kwamba hataki biashara ila ww hauko serious [emoji23]
[emoji16][emoji16]Daa 50 inches kubwa mno. Kauze screpa ukipata hata 50k kwa mafundi chukua fasta
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Inawaka mkuu, imegongwa tu bahati mbaya kwenye kioo.Inawaka?