VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Bei yake na specifications zake?Chukua solarmax ubora wake ni kama wa hizo hapo juu
Reason behind?Wachana na huo ujinga mwngne kama huwezi samsung na LG, last option ni hisense na TCL
Wachana na tv hizo zingine
LG natumia mpaka nachoka, hisense naona kama zinazingua, watu wangu watatu zimewafia zikiwa bado mpya... labda ni bahati mbaya wengine watashauriWachana na huo ujinga mwngne kama huwezi samsung na LG, last option ni hisense na TCL
Wachana na tv hizo zingine
LG 43" bei gani?LG natumia mpaka nachoka, hisense naona kama zinazingua, watu wangu watatu zimewafia zikiwa bado mpya... labda ni bahati mbaya wengine watashauri
labda za china ndo zinazingua?LG natumia mpaka nachoka, hisense naona kama zinazingua, watu wangu watatu zimewafia zikiwa bado mpya... labda ni bahati mbaya wengine watashauri
Hiyo Home tech ina king'amuzi cha Azam ndaniHabarini wanajamvi!
Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa.
Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani.
Kulingana na bei Hisense ipo juu je vipi kuhusu ubora?Mimi sijui ila Hisense inaweza kuwa bei ila ubora ukawa sawa na Home tech.Naombeni wataalamu mnisaidie.
Duh..LG natumia mpaka nachoka, hisense naona kama zinazingua, watu wangu watatu zimewafia zikiwa bado mpya... labda ni bahati mbaya wengine watashauri
Wacha kuivunjia heshima Samsung brand.Namba moja LG namba mbili Samsung halafu wanafuata wengine. Nina Samsung 40 inch smart TV ina mwaka wa 7 sasa IPO kama mpya tu. Haijawahi hata kunisumbua
hisense 650 ya kawaida 7 hadi 750 smart..Hiyo Home tech ina king'amuzi cha Azam ndani
acha kufananisha samsung na vitu vya ajabu...Namba moja LG namba mbili Samsung halafu wanafuata wengine. Nina Samsung 40 inch smart TV ina mwaka wa 7 sasa IPO kama mpya tu. Haijawahi hata kunisumbua