Hisia baada ya tendo

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Kwa asilimia kubwa wengi wetutumefanya mapenzi katika umri wetu huu tulionao.Na mapenzi haya ni aidha katika ndoa au nje ya ndoa.Kwa uzi huu nizungumzie mapenzi kabla ya ndoa au nje ya ndoa.Ni ukweli ikiwa mwanaume unamfukuzia binti njia mbali mbali hutumika.Kwa kiasi kikubwa wanaume wengi huwa tunakuwa submissive ili malengo yetu yatimie,mwisho wa siku tendo hufanyika.Lakini utafiti usio rasmi unaonesha hisia baada ya tendo kufanyika baada ya tendo watu huvaa sura nyingine.je wewe kipi hukutokea?
 
Mayenga ungeongezea kua ni sura gani wanavaa....
 
sasa ana shida gani yakuwa submisive wakati kasha uona utupu wa huyo dada ukizingatia kuwa hilo ndio huwa lengo kuu la watu wanao jiusisha na ngono kabla ya ndoa
 
Me huona kiabu flani hivi, b4 ku-do ninaweza kumface ila baada ya ku-do weee inatake time mpk nianze tena kumface tena!
 
Kama amenisumbua saaaaana... Then baada ya tendo nikakuta wa kawaida... AKINIPIGIA SIMU nitamuuliza "NANI MWENZAAAANGU???"
 
Dah mie afta ku duu najutia na kukacrika xana.....naeza niciongee na huyo dem tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…