NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wenzetu mwendo wameumaliza kimataifa Sasa Kuna uwezekano mkubwa uliojaa chuki (uzandiki) na wivu wa hali ya juu Kama uonavyo mama wa kambo anapoona mtoto wake anafeli halafu wa mwenzie anafaulu, wasiwasi wangu (machale) nahisi makomandoo toka upande wa pili wamepenyezwa ili kuikomoa yanga.
Viongozi wa yanga kuweni makini sana Tena sana msije kusema NALIA NGWENA sikuwaambia, hii hatua ilipofikia yanga ni pigo kubwa sana kwa watani.
Viongozi wa yanga kuweni makini sana Tena sana msije kusema NALIA NGWENA sikuwaambia, hii hatua ilipofikia yanga ni pigo kubwa sana kwa watani.