Hisia: Waliopiga mkwanja wa Rivers United siyo makondoo wa upande wa pili kweli?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Wenzetu mwendo wameumaliza kimataifa Sasa Kuna uwezekano mkubwa uliojaa chuki (uzandiki) na wivu wa hali ya juu Kama uonavyo mama wa kambo anapoona mtoto wake anafeli halafu wa mwenzie anafaulu, wasiwasi wangu (machale) nahisi makomandoo toka upande wa pili wamepenyezwa ili kuikomoa yanga.

Viongozi wa yanga kuweni makini sana Tena sana msije kusema NALIA NGWENA sikuwaambia, hii hatua ilipofikia yanga ni pigo kubwa sana kwa watani.
 
Apo amna Cha Simba Wala kuibiwa, walichofanya wamewadhulumu wenzao Ili wawalishe ugali na sukari na kuwaletea Drama.
Baadae utaambiwa wachezaji awajala kwakua fedha zimeibiwa.
 
Apo amna Cha Simba Wala kuibiwa, walichofanya wamewadhulumu wenzao Ili wawalishe ugali na sukari na kuwaletea Drama.
Baadae utaambiwa wachezaji awajala kwakua fedha zimeibiwa.
Eti hawajala ugali rivers ni timu kubwa wewe siyo majimaji ya songea.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika suala kama hili mkianza kusema ni Simba mtakuwa mnajiharibia tu sababu ni jukumu la Tanzania kutoa ulinzi na Simba ni watanzania. Assumption nzuri ni kuwa Rivers wanafanya maigizo.
 
Ni hisia?Sasa nani azuie hisia za kiumbe hata kama zina chembechembe nyingi za ukichaa?
 
Bora mngekomaa kwamba rivers wanadanganya..wanaleta visingizio..kuleta upuuzi wa kuisingizia simba..mnajimaliza
 
Rudisheni hela za watu nyie wezi fc
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nyinyi utopolo ni wezi wakubwa kama mlimuibiaga pochi raisi wenu injinia Hersi ndo mtashindwa kwa watu wengine?
 
simba aliefeli form six tena PCB amuonee wivu yanga aliefeli darasa la nne akapelekwa MEMKWA kujifunza kusoma?
Hizi akili za namna hii mnatoaga wapi
Kabla ya kujiuliza maswali mengine jiulize kwanza hii akili ya kuandika huu upuuzi umeitoa wapi kwa sababu umeandika vitu hata haviendani halafu kwa kuhemkwa unajiona umetoa point ya maana
 
Hapo wezi ni Makolo tu..
Ni wivu tu kwa Yanga Yetu..sisi Yanga hatuna hizi mambo nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…