Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Habari wanaJF,
Kutokana na changamoto za maisha .
Mwanadamu ana-adapt mazingira ndio huzaa hulka yaani tabia.
FURAHA NA UTULIVU; Hii ndio hisia za asili za Mwanadamu.
Ndio maana ukiwa na furaha unajisikia raha sana.
Ndio energy halisi
.
Hisia zingine kama
Hofu ,hasira na chuki n.k hizi zinatoka njee ( public domestication).
Ni lazima uwe na uwezo wa kudeal na hisia hizi kutoka njee ya mwili wako.
Hii utaweza sio kwa kuwa na pesa nyingi ama Magari.
La hasha!!! Baaali ni kuweza kuutiisha sehemu ya kati ya mwili kuwa kwenye mlinganyo unaotaka wewe kudeal na hisia moja unayotaka wewe ya furaha na utulivu .
Furaha na utulivu ndio hisia za asili