Hivi lazima wakishikwa hisia ziwepo, vp kwa wale wanaofanyiwa vipimo ma hospitalini na ma doctor nao hupata hisia?
Acha tudanganya ww, mkiwa wawili na mmejiandaa na mapenz ni tofauti na kwenda kwa Dr akamkagua maziwa au uke
msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
msichana ambaye ukimshika
matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia
yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya
kawaida?