Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa


Wakati wa utotoni nilijua mwanamke yaan Hana hisia kabisa.

Mi ushauri wangu acha kabisa hayo mawazo na hata ikitokea anakutongoza mwambie haiwezekan na umaanishe kuwa haiwezekan kabisa.

Mahusiano yakazin sio, hasa kwenye ofisi Moja na namna hii, yatawakosesheni uhuru kabisa.

Nakusisitiza usijaribu kabisa
 
Unashikwaje na upwiru dada na humu kuna member anaitwa raraa reree amejikita kwenye hiyo sekta
 
Huyo hakupendi usije jilengesha...endelea kuomba Mungu atakupa wako atayekupenda
Mwanaume akipenda anafanya vitu willingly wala hutatumia force
Na mwanamke akipenda?
 
Hiyo huwa ni kawaida badae utazoea na kuanza kujishangaa
 
Apewe, haina ......
 
Love is a beautiful thing, unateseka nn mpende akupende basi mpendane tuu
 
Hata wewe una type ya wanawake unao wataka haichukui nafasi ya daktari kukushauri uwaache hao unaowataka uende kwa usiowataka

Mazingira ndio yanakukutanisha na watu
Mshono kapiga mshono huyo.mpaka sasa ni muuza madafu wa kwenye zari la mentali tu nimewahi kumuona akipendwa na mdada sina muda mrefu naachia ngoma ya muokota chupa anakufa na upwiru.
 
"Love iz just like a war easy to start difficult to end 🔚 "

Kila lakheri mkuu,

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Wee mtunuku tuu huenda na yeye anaumia kama wewe anashindwa kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…