babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kaliwe kimasikhara ushauri gani unaomba?Hata kama ya kiume toa ushauri kulingana na story
Kwa hiyo mara ya mwisho kupugwa PIPE umesema ni lini,? 🙂Wakuu kwema,,
Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…
Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni wa wafanyakazi wenginee ila na mimi namwita tu boss…
Kwa mara ya kwanza alipofika nilimpokea na kumkaribisha sikujua kama ni boss nilijua tu ni mteja and ali respond vizuri so tukapigapiga story alinivutia… alichukua namba yangu and we chart kama mnavyojua tena Hakunaga cha maana zaidi ya kuulizana shemeji hajambo na wifi mzima
Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man
Still hajanitamkia kuwa ananipenda but yuko interested kuongea na mimi akiniona ananichangamkia na utani kuwa atanitafutia mchumba wa kanda ya ziwa.. kuna zile ishara za kuonesha kuwa huyu mkaka anataka kunitongoza ila anakausha ninaziona…. Natamani aseme hivyo labda nitafeel good
Ukweli sijui Kama nampenda ama ni upwiru wa kukaa single muda mrefu au vyote kwa pamoja…
Kijana mwenyewe naona kama ameanza kutoa attention kwangu so na mimi nimejikaza nisimshobokee… but inakuwa ngumu kwasababu tunaonana mara zote na kuna baadhi ya vitu lazima nipeleke ofisini kwake so inakuwa ngumu kwangu
Nataka ushaurii namna ya kukabiliana na hiyo hali yaani nisimfikirie kabisaa maana kunapoelekea nahisi nateseka tu
Wakuu kwema,,
Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…
Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni wa wafanyakazi wenginee ila na mimi namwita tu boss…
Kwa mara ya kwanza alipofika nilimpokea na kumkaribisha sikujua kama ni boss nilijua tu ni mteja and ali respond vizuri so tukapigapiga story alinivutia… alichukua namba yangu and we chart kama mnavyojua tena Hakunaga cha maana zaidi ya kuulizana shemeji hajambo na wifi mzima
Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man
Still hajanitamkia kuwa ananipenda but yuko interested kuongea na mimi akiniona ananichangamkia na utani kuwa atanitafutia mchumba wa kanda ya ziwa.. kuna zile ishara za kuonesha kuwa huyu mkaka anataka kunitongoza ila anakausha ninaziona…. Natamani aseme hivyo labda nitafeel good
Ukweli sijui Kama nampenda ama ni upwiru wa kukaa single muda mrefu au vyote kwa pamoja…
Kijana mwenyewe naona kama ameanza kutoa attention kwangu so na mimi nimejikaza nisimshobokee… but inakuwa ngumu kwasababu tunaonana mara zote na kuna baadhi ya vitu lazima nipeleke ofisini kwake so inakuwa ngumu kwangu
Nataka ushaurii namna ya kukabiliana na hiyo hali yaani nisimfikirie kabisaa maana kunapoelekea nahisi nateseka tikujua kam ungenisem hivy ukirud online njoo Pm tuyajenge mam😊
Kaliwe kimasikhara ushauri gani unaomba?
Kwa hiyo mara ya mwisho kupugwa PIPE umesema ni lini,? [emoji846]
jiandae kushea dudu hakuna msukuma ana mke1
Wee mtunuku tuu huenda na yeye anaumia kama wewe anashindwa kusema
mme nimetokea hunitak badae uanze kumsumbua Mwamposa kuw umekosa mume hayaa!! kaz kwel kwelWenye wapenzi mnafaidi kuwa single ni mateso
safi..ni njema kwa afya 🙂Leo dear[emoji28]
kamanda wa zamu na mwenyekiti wetu neno bila shaka amelipokea.Mpe KITUMBUA ila mtahadharishe KUOA MARUFUKU..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
dahh.. "palipolegea pakazwe" basi sawaNajua hawezi kosa mtu.. sasa kila mtu ana mtu nitakufa single inabidi palipo legea pakazwe
Matapeli wamekua wengi humuYes, ni kama nimewaza hivyo pia.