Hisia

Pole, hayo ni mapito tu kiongozi, binadamu tunapitia nyakati ngumu nyingi hapa duniani hivyo tambua neema, furaha, mafanikio pia vinatembea na wewe hiviko mbali.

Binafsi niko kipindi kigumu mno kwa takribani miaka 5 mfululizo lakini ninaamini bado kesho yangu ina nuru hivyo sifi moyo wala sitakata tamaa ninajua kila jambo lina muda wake na kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
Piga moyo konde safari bado inaendelea
 
...ukituficha,
Unahatarisha,
Maisha,
Ni vema kubainisha,
Ni kipi kinakutisha...
 
Sikia Chief dunia haipo unavowaza

Usinipuuze:
Tafuta mafuta yanaitwa Bint Sudan..
Weka kwenye maji uwe unaoga na mengine uwe unajipaka siku 7
Lete mrejesho kuwa una damu ya kunguni.
 
Sikia Chief dunia haipo unavowaza

Usinipuuze:
Tafuta mafuta yanaitwa Bint Sudan..
Weka kwenye maji uwe unaoga na mengine uwe unajipaka siku 7
Lete mrejesho kuwa una damu ya kunguni.
Haya mafuta yanapatikana wapi ustaadhi?
 
Huyu Jamaa anaendeleaje aisee! Naona mara ya mwisho kaonekana jana dakika 10 baada ya kupost hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…