mhh afadhali mtu azungumze hisia zako kama mnafahamiana physically na mko mnaona na wakati huo
inafurahisha mtu anapojifanya anakuju kwa post tu za hapa jf.....
eti mbona umekasirika hivyo? lol
au fulani mbona unamfuata fuata kwenye post zake?
mna nini kati yenu?
watu kwa hisia lol
Ameuliza vizuri kwamba kuna Members wanaolipwa kwa kupost thread? are u serious!! angeuliza kwamba kwa sababu mleta thread ni Premium Member je anaichangia JF pesa kiasi gani kwa mwaka? hili lina logic.
Hivi kwa fikra finyu kama hizi Mtu unaweza kuwa miongoni mwa Great thinker? kweli nimeamini kichuguu ndio nyumba pekee ambamo nguchiro na nyoka wanaishi pamoja.
Lizzy hii kitu ipo sana ajabu zaidi ni pale hisia za wengi zinapoamua kuwa negative zaidi kuliko positive!
Am just having my fresh mango juice & waiting for my lunch, am out of this.Hey there Mr Valentine. . .mambo mengine kujibu ni sawa na kupoteza muda wakati mambo ya maana yapo. POTEZEA!!
Nadhani hisia huanzia hapa
"kimtokacho mtu kinywani ndicho kiijazacho nafsi yake"
Unaposema neno au kupost kitu, ninakibeba na kutafsiri kwa mtazamo wangu
Then nakimbilia ku-conclude, lakini inawezekana kabisa mwandishi au msemaji aliyesema neno lile ana mtizamo au matumizi yake ya maneno yale ni tofauti kabisa na yangu.
Zaidi naona ni ku-personalize maneno ya mtu mwingine na kujifanya yako
Mkuu mimi hapa napata hisia kwamba umekasirika kutokana reaction yako. au nalo hili hisia zimenidanganya?
Am just having my fresh mango juice & waiting for my lunch, am out of this.
Nikikasilika huwa nina smilling face na huwa siwezi kupigiwa ramli, inshort siwezi kukikasilikia kivuli mtu ambaye simju na wala hanijui inawezekana vipi nimkasirikie!!??Mkuu mimi hapa napata hisia kwamba umekasirika kutokana reaction yako. au nalo hili hisia zimenidanganya?
mimi bado ninaamini kuuliza sio ujinga na aliulizalo mtu maana yake anahitaji kujua.
sasa kama mtu atakuja humu na kuuliza kisha kumshambulia kwa maneno, its not fair. watu wataogopa kuuliza
na pia hapa nawezasema unajaribu kuingilia hisia za mtu, kwa kufikiri anajok.
watu tumetofautiana uelewa bana. mimi naweza nisielewe hata jinsi ya kupost but nikiuliza sio kwamba natania.
Basi mbona watu wanaposema "NAKUPENDA" hua haichukuliwi kama alivyosema kwa wengi, na watu hao hao hung'ang'ania zile ambazo ni hasi (UNANICHUKIA, UMENIKASIRIKIA) hata mhusika akatae?
mimi bado ninaamini kuuliza sio ujinga na aliulizalo mtu maana yake anahitaji kujua.
sasa kama mtu atakuja humu na kuuliza kisha kumshambulia kwa maneno, its not fair. watu wataogopa kuuliza
na pia hapa nawezasema unajaribu kuingilia hisia za mtu, kwa kufikiri anajok.
watu tumetofautiana uelewa bana. mimi naweza nisielewe hata jinsi ya kupost but nikiuliza sio kwamba natania.
mm nieleweshe.unapata wap mda wa kufanya mamb mengne au kuna watu wanalpwa kupost sred nying ww ukia ktk hilo kund?
Golden Mpoleeee
Today 12:09
#7 JF Senior Expert Member Array
Join Date : 20th January 2012
Posts : 536
Rep Power : 410
Tumeshazoea kusikia watu wakiambiwa "Usiusemee moyo wa mwenzio" pale hisia za kimapenzi (kupenda) zinapokua zinahusika. Na hiyo kauli kama wengi tunavyojua hua inamaanisha kwamba hakuna anaeweza kujua nini mwingine anahisi ndani ya moyo wake kwa uhakika hata kama matendo yake hayatii shaka kuhusu hilo. Binafsi hua napenda kumwamini mtu mpaka atakaponipa sababu ya kutofanya hivyo, kwahiyo mtu akiniambia anahisi hivi au vile, ziwe hisia nzuri au mbaya ndizo ntazichukulia kama zilivyo.
Nwy leo nataka kuongelea zile ambazo ni hasi kidogo. Kwanini watu hua wanaona wana haki ya kumuamulia/kuona wana uhakika na kile mwingine anachohisi? Kwa mfano unaweza ukasema kitu cha kawaida tu. . .alafu mtu akadakia "mbona unajibu/ongea kwa hasira?"/ "una hasira wewe!!" na kukomalia hayo maneno hata pale mhusika anaposema sio? Au utasikia "fulani hata hakuumia mpenzi/ndugu yake alipofariki" kisa hakutoa machozi. Ina maana mtu hawezi kua hacheki cheki na bado asiwe na hasira? Mtu hawezi akaumia moyoni na bado mnaomuangalia msijue kisa hajatoa chozi? Chozi hili hili ambalo hata kwa vitunguu linatoka? Mtu hawezi akawa kimya labda kwaajili ya mawazo binafsi bila ya kuhisiwa kakasirika ama kaboreka? Mtu hawezi akawa na matatizo binafsi bila ya wewe kulazimisha kwamba ndie mkasirikiwa/mhusika?
Naamini UELEWA ni silaha kubwa sana, yani inaweza ikakulinda na aibu/hasira na hasara wakati wowote ule. .na KUTOKUA muelewa ni hasara inayoweza ikakufanya hata uonekane mjinga wakati mwingine.
Binafsi hua naboreka sana pale mtu anaponilazimishia hisia ambayo sinayo kwa wakati ule. . .hata kama nilikua napanga kumwambia kitu ntaahirisha kama sio kuacha kabisa.
Unapoona mtu yupo tofauti na ambavyo ungependa/ulitarajia uliza kulikoni badala ya kuassume na kulazimisha jibu liwe lile ulilomwandalia. Epuka kulazimisha kua wewe ndio tatizo, maana usipoacha kulazimisha UTAKUA tatizo kwa kukosa uelewa. Penda kuuliza badala ya kuassume. . .
umekosa hoja unaleta upupu hapa? Unanibabaishia nini? Huo wasf unataka kula? Nimewakuna eeh? Pambaf! Katishie nyau watot wadg!
mm nieleweshe.unapata wap mda wa kufanya mamb mengne au kuna watu wanalpwa kupost sred nying ww ukia ktk hilo kund?
Rise above hate ....people......
Hizi ndio Hisia za kijinga zinazoongelewa kwenye thread hii, The Boss ameelezea vizuri usijifanye unamjuwa sana mtu kwa post zake za JF. KAMA KAZI YAKO NI KUBEBA ZEGE usitake wote tuwe hivyo.
Mimi nafanya kazi mara 2 tu kwa mwaka na ninaingiza kipato cha ku cover life expenses zangu kwa miaka 2.