Hisia. . .

Mie nilishajiambia
Nina maamuzi ya mwisho na masiha yangu
As long as am comfortable, nafanya nitakacho, wakati wowote, kwa staili yeyote

Watu wanajidai weeeema, lakini wana maasi gizani ambayo hata sheitwani huwa anashangaa

Thank you, thank you na naomba ruksa kuitumia kama sahihi sentensi ya rangi ya blue
 
Hisia...
 
He he he
Mie nashabikia DMX ana highlanders kwa makundi
Solo kuna CMP Punk na Ray mysterio

John Cena ana karibia kushindwa kuitetea slogan yake.
Maana Kane ana mpelekesha kweli ili aingie kwenye kisima cha chuki.
 

unamuuliza tu are you okay? Hata mara mbili-tatu .... Kujudge tu kwamba we una hasira... Au hasira zako za ofisini unaleta nyumbani.. Si vizuri...
Kama kweli umemwona hayuko okay,ask it gently..
 
Hivi vitu mbona mie huwa havintokei?
 
Mimi nilikuwa mhusika/mhanga wa hiyo mada yako yote Lizzy.. Na hasa paragraph ya last but one...
Imefikia hatua nimekata tamaa na relationship kabisa!
Pole GeeCee. . . inabidi umpe mhusika somo aisee.
 
Mazee wewe hujui kama kuna wehu wa aina nyingi wengine wanakukasirikia na hawakujui hahaha.

Itabid basi watafute basi njiani kama wataona majina yetu fazaa au Boss mbona watasumbuka, we wachaa tu mazee kuna wengine ukimwambia unampenda anadhani kweli na wengine ukiwambia unawachukia wanadhani kweli si unajua wengine wanamini JF utadhani ni Qur'an au Bible :biggrin:
 

Wacha bwana. Nimeipenda hii. Wewe ni norma.
 
Usitake kuharibu thread ya watu, kama ni matusi mimi nina software ya matusi hujalazimishwa kuchangia thread hii heshima ni kitu cha bure, hizi ndio Hisia za kijinga kujifanya mnajuwa watu humu wakati ni mafala tu.
.

Punguza hasira.
 
Duh kwa ku-mordenisi majina hujambo
king'ast naskia naye kawa Kyng'erst

Lakini huyu si alikuwa Gchokest
Sasa nitumie lipi?

Mi na GeeCee tuna makubaliano bana.Wengine wote nimekoma maana kushushuliwa kuchachu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…