Historia: Askofu Janani Luwum vs Idd Amin

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Huyu Askofu aliuawa na Idd Amin kwa kumkosoa na kupinga mateso aliyokuwa akiwapa waganda. Alifia mikononi mwa Id Amin kwa kum shoot mwenyewe.

00390325:9b8f5126a0f0242c2cbfcd1775b4c097:arc614x376:w285:us1.png

Calm before the storm. Archbishop Luwum (left) with president Idi Amin before the murder.

Janani, Luwum, Archbishop of Uganda
 
Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta
 
Cardinal anakwenda kuwa neutralised kwa 'heshima'. Amepoteza sifa za ukatoliki. Sifa moja wapo ya ukatoliki ni kutokuwa mdini.
 
Tundu Antipas Lissu ameyasema yote haya..

Huu ni UTAWALA wa Kidikteka na hakuna aliye salama..

Bwana yule HATAKI kusikia namna yoyote ile ya hoja ya kumpinga..

(Tatizo la Bishop) Severine Niwemugizi ni MSIMAMO wake hasa hivi karibuni alipolisemea suala la umuhimu wa Tanzania wa kuwa na Katiba Mpya..

Nakumbuka hii kauli yake.. "Rais anafanya vema kwenye mapambano yake ya kuirudisha Tanzania kwenye mstari lakini hayo yote anayoyafanya hayawezi kuwa sustainable kama Tanzania haitakuwa na Katiba mpya "
Alisema kitu cha namna hii.

Na akasisitiza kweli kweli..

Tayari ameshasigana na watawala..!!

Immigration wanamuuliza "vibali" vyako vya kuishi Tanzania vipo wapi..!!?
 
Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta
Cardinal amepoteza sifa nyingi hivi sasa..
Zamani hakuwa hivi kwenye utawala wa JK matamko yalikuwa kila siku..
Lakini sijui alikuwa anataka Rais Mkatoliki ndio amempata sasa ambaye anataka kukamata hadi Maaskofu wake..!!
Issue ya Niwemugizi ni kubwa na hapaswi kukaa kimya..
Hata Balozi wa Vatican nafikiri lazima itamlazimu kuijulisha Office ya Pope Vatican kuhusu hili suala.
 
Muda unazungumza ilikuwa zama za magaidi wacha mafisi yatafunane!
 
Anayetawala ni mwenzetu...haturuhusiwi kumkosa hata kidogo.....
 
Tundu Antipas Lissu ameyasema yote haya..

Huu ni UTAWALA wa Kidikteka na hakuna aliye salama..

Bwana yule HATAKI kusikia namna yoyote ile ya hoja ya kumpinga..

(Tatizo la Bishop) Severine Niwemugizi ni MSIMAMO wake hasa hivi karibuni alipolisemea suala la umuhimu wa Tanzania wa kuwa na Katiba Mpya..

Nakumbuka hii kauli yake.. "Rais anafanya vema kwenye mapambano yake ya kuirudisha Tanzania kwenye mstari lakini hayo yote anayoyafanya hayawezi kuwa sustainable kama Tanzania haitakuwa na Katiba mpya "
Alisema kitu cha namna hii.

Na akasisitiza kweli kweli..

Tayari ameshasigana na watawala..!!

Immigration wanamuuliza "vibali" vyako vya kuishi Tanzania vipo wapi..!!?
b595fdee1fb1cd591a0129bc1bce0c23.jpg
 
Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta
anagekuwa raisi wa dini nyingine ungewaskia mkuu.
 
Back
Top Bottom