waliopo upande wa kusiniNiki unganisha doti najisikia kutetemeka kwani naona historia hii ya Uganda yaweza kujitokeza kwa Jirani zao
Cardinal anakwenda kuwa neutralised kwa 'heshima'. Amepoteza sifa za ukatoliki. Sifa moja wapo ya ukatoliki ni kutokuwa mdini.Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta
Umesema kweli tupu Mkuu.Cardinal anakwenda kuwa neutralised kwa 'heshima'. Amepoteza sufa za ukatoliki. Sifa moja wapo ya ukatoliki ni kutokuwa mdini.
Cardinal amepoteza sifa nyingi hivi sasa..Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta
Inamaana hata kipindi cha mkapa anatawala walikuwa hawatoi matamko?Anayetawala ni mwenzetu...haturuhusiwi kumkosa hata kidogo.....
Tundu Antipas Lissu ameyasema yote haya..
Huu ni UTAWALA wa Kidikteka na hakuna aliye salama..
Bwana yule HATAKI kusikia namna yoyote ile ya hoja ya kumpinga..
(Tatizo la Bishop) Severine Niwemugizi ni MSIMAMO wake hasa hivi karibuni alipolisemea suala la umuhimu wa Tanzania wa kuwa na Katiba Mpya..
Nakumbuka hii kauli yake.. "Rais anafanya vema kwenye mapambano yake ya kuirudisha Tanzania kwenye mstari lakini hayo yote anayoyafanya hayawezi kuwa sustainable kama Tanzania haitakuwa na Katiba mpya "
Alisema kitu cha namna hii.
Na akasisitiza kweli kweli..
Tayari ameshasigana na watawala..!!
Immigration wanamuuliza "vibali" vyako vya kuishi Tanzania vipo wapi..!!?
anagekuwa raisi wa dini nyingine ungewaskia mkuu.Hali mbaya sana....ina maana Cardinal hayaoni haya?? Haoni mtikisiko wa nchi? Ina maana kanisa this time limeshikika? Mbona awamu zilizopita zilikuwa zinatoa sana sauti popote pale penye uozo? Naumia sana wapi nchi yangu Tanganyika inaenda?? Watawala wanajisahau hivi kama wataishi milele? Kwa nini wanatumia nguvu kubwa hivi? Wanahalalisha nini?? Watanzania tuna stress zetu nyingi tu....tunajuta