Historia chungu ya maisha ya taifa la Ukraine, Mapinduzi ya utu (Maidan Revolution) hadi uvamizi wa 2022

Hawatakiwi wawe na maamuzi ya kujichagulia pakufuata au marafiki na wakiota mapembe tunayavunja [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vlad ni kibaka kwanini aamue kuvamia sovereign state, yeye ya Ukraine yana mhusu nini mbona yeye kajimilikisha utawala wa Russia watu wamekaa kimya tuu.
 
Namshangaa hata ile mikataba ya Urusi kuiuzia Ukraine mafuta kutoka Rosneft na gasi kutoka GAZPROM kwa bei ya ruzuku ili kuborsha uchumi wa Ukraine wala hakutaja jamani hawa ma pro West ni zaidi ya unyang'au halafu analeta stori za afu lelaulela? Ndo maana urusi huwa anawafumua mutu aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…