Historia Elimu na Rwanda Genocide

When Victims Become Killers
 
Write your reply...It reminds me the movie "some times in april"
 
Usisome kitabu kimoja kuhusu Rwanda ukafikiri umeelewa kila kitu.....Issue ya Rwanda Niko complicated sana ina maswali mengi ya kijiuliza kuliko majibu.....Kwanin mahakama ya Arusha ilihukumu wa Hutu tu, je population ya watsutsi kabla ya genocide ilikuwa je? kwanini Ndege ya Habyarimana ilitunguliwa na kuanguka kwenye compound ya nyumba yake? kwanini Kofi Annan alikuwa katibu mkuu wa UN wakati alishindwa kuzuia mauaji ya Rwanda akiwa mkuu wa peacekeeping mission? black box ya Ndege ya Habyarimana ilifikaje New York? kwanin 1998 Rwanda iliingia Congo?Na most recently kwanini Nkurunzinza alishindwa kuja kwenye uapisho wa Magufuli 2015?......Nikipata muda ntajaribu kukudadavulia pia ukumbuke sio wahutu na Watusi pekee watwa nao waliuawa.....
 
Mkuu mimi sijahitimisha, kama umesoma vizuri nimeulza maswali yaliyotokana na kitabu husika, na sijasema kuwa ndo kiko sahihi.

Naomba urejee maswali niliyoomba tuyatafakari kwa pamoja, nadhani utapata kuelewa ninachomaanisha ndugu.
 
1. Ni kwa nini kitabu chake aliamua kukiita "When Victims Become Killers?"
2.Je? Sisi nasi tuna lolote la kujifunza kutokana na kitabu hiki na historia ya Rwanda kama ilivyoandikwa kwenye kitabu hiki?
3. Ni nani anatakiwa alaumiwe, Mhutu ama Mtutsi kwa kusababisha mauaji ya kimbari?
4. Je, prof. alikuwa sahihi kuandika habari ya mauaji ya halaiki kwa kuzingatia historia ya nyuma miaka mingi kabla ya mauaji?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…