Kulwanotes
Member
- Nov 3, 2021
- 22
- 55
Interesting. Lakini haikuwa hivyo, mgawanyo wa majukumu ya kijamii na kifamilia, yaliweka utengenezaji pombe kama ni kazi ya nyumbani, hivyo ni wanawake ndio waliokuwa wakifanya shughuli hiyo. Kipindi hicho haikuwa biashara inayolipa. Miaka mingi baada ya kuwa ni biashara nzuri, mfumo dume ukaitawala industry hiyo na ikapenyezwa mambo ya kidini na kisiasa, wanawake wakatupwa nje ya industry hiyo. So, lengo halikuwa ni suala la kuwalaghai wanaume ili wachepuke.fanya utafiti zaidi. yasemekana pia waliogundua pombe ni wanawake.....sijui walitaka waume zao wawe wanakunywa wakilewa wao wanatoka kwenda kwa michepuko yao?
nimesema ugunduzi...siyo shughuliInteresting. Lakini haikuwa hivyo, mgawanyo wa majukumu ya kijamii na kifamilia, yaliweka utengenezaji pombe kama ni kazi ya nyumbani, hivyo ni wanawake ndio waliokuwa wakifanya shughuli hiyo. Kipindi hicho haikuwa biashara inayolipa. Miaka mingi baada ya kuwa ni biashara nzuri, mfumo dume ukaitawala industry hiyo na ikapenyezwa mambo ya kidini na kisiasa, wanawake wakatupwa nje ya industry hiyo. So, lengo halikuwa ni suala la kuwalaghai wanaume ili wachepuke.
Sahihi. Nami nilikuwa nareact kwenye dhana hiyo ya kuwalewesha wanaume halafu wachepuke😃nimesema ugunduzi...siyo shughuli
Sina hakika kipi kilianza kabla ya mwingine. Ila nachofahamu zote zilianzia Middle EastKwaiyo mgunduzi alikuwa nan/ watu gani? Maana umesema matajiri waliagiza toka eneo tofauti kwa mantiki iyo inaonekana mda bia inagunduliwa mvinyo ilikuwa tayari imeisha anza kutumika au ?