Historia fupi ya vita ya Armenia na Azerbaijan

Historia fupi ya vita ya Armenia na Azerbaijan

Arbert

Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
15
Reaction score
11
Ivi karibuni masikio na macho ya duru za kimataifa yote ya meelekezwa uko barani ulaya ambapo kumeshuhudiwa vita kubwa baina ya mahasimu wa muda mrefu ambao ni ARMENIA NA AZERBAIJAN. Kutokana na teknolojia ya kisasa tumeshuhudia picha za kutisha za saterite zikionyesha mauwaji ya kutisha ya baina ya nchi hizi ndogo, watu wengi bado wapo kwenye mshangao kutaka kujua , Ni nini kinacho fanya nchi hizi zipigane? Ni nani yupo nyuma ya vita hivi , Na ni kwa maslai gani? Kujua yote hayo naomba ufatane na mimi kwenye uzi huu ili kujua au kupata mwanga kuhusu vita hii.

Hizi zote ni nchi ambazo zilikua kwenye muungano wa kisovieti ambao ulikuwepo toka mwaka 1922 hadi 1991 ,Ugomvi kati ya Armenia na Azerbaijani haujaanza leo huu nimwendelezo tu wa mambo ambayo yamewahi kutukia tokea mwanzonikabisa mwa karne ya 20, Ambapo kulitokea msuguano mkubwa au vita balidi kati ya nchi hizi mbili ambapo mwaka 1988 nchi hizi kwa mara ya kwanza zilianza kuonyeshana mabavu na sababu kubwa ikiwa ni kuigombea sehemu ya aridhi ya Nogrono karabakh, ambayo mwaka huu wa 1988 ndugu Joseph Vasarionorich Stalalin akiwa katibu mkuu wa community part of Soviet ali idhinisha kua sehemu ya Nogrono karabakh kua sehemu ya nchi ya Azerbaijan, Armenia haikukubaliana na maamuzi hayo na kutangaza kua sehemu iyo ipo nchini mwake na kuanzisha vita, Ambayo matokeo yake yalikua mabaya sana askari 214 na raia 16 wa Armenia waliuwawa na askari 398 na raia 31 wa Azerbaijan. Askari na raia hao waliuwawa mwanzoni tu mwa vita hiyo, ambapo ikafanya umoja wa mataifa na mataifa mengine makubwa kuamua kuitisha majadiliano ya amani baina ya nchi hizi mbili. Kufikia mwaka 1994 ambapo mitutu ya bunduki ilishushwa chini tayari maisha ya watu zaidi ya 38000 yalikua yameshaa potea na armenia walijitangazia ushindi wa vita hiyo.

Baada ya mwaka 1994 kuliendelea kushuhudiwa mauwaji na visa vya watu kupotea mipakani mwa nchi hizi mbili. Mwaka 2011 kulitukia mvutano baina ya wanajeshi wa mpakani mwa nchi hii na kusababisha mashambuliza ambayo yalifanywa na wadunguaji(snipers) na kusababisha wanajeshi 8 kupoteza maisha 3 azerbaijan 5 armenia .Mwaka 2014 mapigano kati ya vikosi vya nchi hizi mbili vilivyo mpakani yalizuka na kusababisha mauaji ya wanajeshi kwenye nchi zote mbili , mwezi wa nane mwaka 2014 serikali ya Azerbaijan ziliripoti mauwaji ya askari wake 8 na kuishutumu serikali ya Armenia kutumia vikosivyake vya NKO kutekeleza mauaji hayo, taarifa izo zilikanushwa vikali na NKO huku serikali ya Armenia ikiishutumu Azerbijan kuhusika na vifo vya askari wake wawili, usiku unaofata askari watano wa Adzebijan waliuwawa kwa mwezi huo wa nane peke yake askari 15 walipoteza maisha. Serikali ya urusi ikatoa onyo kali kwa nchi hizi mbili. Miaka ya ivi karibuni tumeshuhudia Azerbaidjan kufanya marekebisho mengi kwenye idara zake za ulinzi na kupokea mafunzo kutoka katika nchi kama uturuki ambayo ina majeshi ya kisasa kabisa .Mwaka 2015 nchi ya Azerbaijan ilitumia dola za kimarekani billion 3 kwaajili ya jeshi lake tu ambayo ni kubwa kuzidi bajeti ya nchi nzima ya Armenia kwa mwaka wa 2015.

VITA YA SIKU 4 (2016)
Mwanzoni mwa mwaka wa 2016 kulianza kuibuka vuguvugu ambalo lilipelekea mwezi wa nne kuanza kusikika tena sauti za risasi na makombora mazito ambayo ilidumu kwa siku nne na kupelekea askari 88 na raia 15 wa Armenia kupoteza maisha na wanajeshi 4 kupotea kusiko julikana, na askari 92 na raia 10 wa Azerbaijan kupoteza maisha na 3 kupotea kusiko julikana . Sababu kubwa inayo elezwa kua ni chanzo cha vita hizi ni kugombania sehemu ya ardhi kama tunavyojua eneo lao limebarikiwa utajiri wa mafuta na gesi lakini kunasababu za kisiasa na za kuchumi zinaelezwa kua ni moja ya sababu ya vita hizi .Uhalibifu mkubwa wa ndege za kivita na drone 13 za Azerbaijan ulifanywa na jeshi la Armenia.

Kumeshuhudiwa mauwaji mengi sana mwaka 2018 ambapo Armenia ilidondosha ndege nyingi za kivita za Adzebijan
Ukiangalia kwa sasa Azerbaijan imefanya maendeleo makubwa kwenye jeshi lake na hata kwenye rank za majeshi bora duniani imepanda na kufikia namba 64 huku wahasimu wao wakubwa Armenia wakiwa namba 100. Mwaka 2020 tumeshuhudia vita kali na mbaya sana ambapo Armenia walishindwa vibaya sana
 
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
When it comes to Crimea, formerly an Ottoman territory, Ankara is not in a position to do very much. It has only a modest fleet in the Black Sea, whereas Russia has spent the years since it annexed Crimea in 2014 building up a major force. So Turkey’s navy concentrates on the Aegean and eastern Mediterranean, which has become one of the world’s most complicated chessboards, and where it is coming up against significant opposition from its neighbours.

It is also being challenged in another region where it traditionally has influence: Azerbaijan. The 2020 conflict between Azerbaijan and Armenia was brought to an uneasy close by Russian diplomatic intervention, followed by the entry of Russian peacekeepers on patrol while Turkish troops were only allowed access to the peacekeeping observation centre. The fighting centred on the ethnically Armenian region of Nagorno-Karabakh, which did not want to be part of Azerbaijan. Turkey sided with the Azeris, who are ethnically Turkic, and Azerbaijan came out on top, but it was Moscow which muscled in to bring the conflict to a halt.

Much has been made of the ‘bromance’ between Putin and Erdoğan; it doesn’t really exist beyond a cold-eyed understanding of geopolitics and a mutual respect for the other’s ruthlessness. The two sides know each other well, and while they can avoid bumping into each other they will, but both know there will be times when it will be blink first or bump later.
 
Back
Top Bottom