Historia gani ni ya kweli

Joined
Aug 1, 2022
Posts
41
Reaction score
86
Maana asilimia kubwa ya historia ni za kubuni au kutengeneza [emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Historia ya Nyerere kulikomboa taifa ni ya kweli
Count...
Historia ya Nyerere kuikomboa Tanganyika bahati mbaya kwa miaka mingi ilikuwa ni ile ambayo alitajwa yeye peke yake (Angalia: IN Kimamabo and AJ ''Temu a Short History of Tanzania,''(1969), Abubakar Uloto, ''Historia ya TANU,'' (1971), ''Historia ya TANU 1954 - 1977,'' Chuo Cha CCM Kivuoni (1981).

Hali hii imekuwa hivi kwa miaka mingi sana.

Lakini Nyerere peke yake asingeweza kuikomboa Tanganyika.

Hili la kwanza.

Pili harakati za kuikomboa Tanganyika zina historia yake.
Historia hii pia hakuna aliyekuwa anaijua.

Ikawa hivi kwa miaka mingi pia.
 
China ( paper tiger) kumvimbia USA .....then mchina kula Kona kula [emoji125][emoji125] [emoji125]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa sawa
Angalia hiyo picha hapo chini ya ufunguzi wa ofisi ya African Association mwaka wa 1933:


Mwaka wa 1929 hawa wafuatao ndiyo walioasisi AA: Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Ibrahim Hamisi, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Raikes Kusi na Rawson Watts.
 
Tatizo la maandiko yako yanaegemea kwenye dini na kupelekea wengine kukwazika. Yaani kwako wewe usahihi/ukamilifu wa historia ni pale akitajwa muislam.
 
Tatizo la maandiko yako yanaegemea kwenye dini na kupelekea wengine kukwazika. Yaani kwako wewe usahihi/ukamilifu wa historia ni pale akitajwa muislam.
Zabron,
Niandikayo ni uongo?
Ikiwa naandika kweli tatizo ni nini?

Au wewe umeridhia kwa kuandikiwa historia siyo kwa hofu ya kuwataja Waislam?
 
Zabron,
Niandikayo ni uongo?
Ikiwa naandika kweli tatizo ni nini?

Au wewe umeridhia kwa kuandikiwa historia siyo kwa hofu ya kuwataja Waislam?
Wewe mzee muongo na mzushi..unaleta upotoshaji mkubwa kwa illusion zako za kidini..wajinga na wapuuzi ndio wataweza kujifunza historia zako za kupumbafu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
bro ntakutafuta nataka niwafahamu vzr hao watu hususan iyo familia ya sykes kwan ni watu wa kabila gan
 
bro ntakutafuta nataka niwafahamu vzr hao watu hususan iyo familia ya sykes kwan ni watu wa kabila gan
Askari...
Kipo kitabu kinauzwa Ibn Hazm Bookshop Msikiti wa Mtoro na Msikiti wa Manyema bei elfu kumi.
 
Mohamed Said mi nipo pamoja nawewe nakufuatilia sana madini yako,Mimi nna master's ya History but nakiri historia tunayofundisha watoto wetu imepotoshwa Sana,nafikiri serikali imefanya hivi makusudi.
 
mkuu umewaza nini
 
Exactly....

Kuanzia dini kuletewa mpk hayo mauzauza

Ova
 
Historia yenyewe kuhusu mwafrika
Inafichwa fichwa...

Ova
 
Nakubaliana nawe mzee wangu, lakini ni kweli kuwa Nyerere kapigania Uhuru, hiyo ilikuwa hoja yangu kumjibu mleta mada.

Katu asingeweza kulikomboa peke yake maana hata Yesu hajuwezi kuisambaza Injili lakini mchango wake yeye kama kiongozi umejitanabaisha dhahiri.
 
Tatizo la maandiko yako yanaegemea kwenye dini na kupelekea wengine kukwazika. Yaani kwako wewe usahihi/ukamilifu wa historia ni pale akitajwa muislam.
Huyu mzee ana udini sana anajulikana, watu km hawa ni HATARI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…