Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Katika kipindi asubuhi njema chanel ten,mada ikiwa ya Muungano.Kuna mzee aliwahi kutumikia taifa akiwa mwanajeshi kadokeza akisema kabla ya vyama vingi kuna mkoa uliwahi kujitenga na kusimamisha bendela yake aina ya ngozi ya chui ila hakutaja ni mkoa gani.Ila nikijua Jf nijungu kuu nimeona niweke hapa tujuzane hii historia nikizingatia historia ya nchi yetu iko katika vipandevipande.