Kilimakyaro....
Zipo tetesi kuwa mkoa huo ni Mara.
Nadhani aliyefanya hivyo alikuwa mmojawapo wa ukoo wa akina Bhoke Mnanka.
Mkoa wa mara!
Yeah_ni Mara mkuu,...kwa kina iweeee.
Samahani mkuu, hilo neno linatumiwa na kabila la wahaya. Au ulikuwa unamaanisha Ingwe??
hadithi hii inatufundisha nn?
uyu mzee kama unalitakia mema taifa hili unatakiwa kumsikiliza kwa umakini.
ana hoja na tanzania na zanzibar anazijua vizuri.
kifupi nimempenda