Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hapana ni kijana wa kinyakyusa anajiita chifu, hapa hoja ni TBC kurusha jambo ambalo huenda si sahihi, msimulizi angesema wametokea kusini kupitia Malawi nisingekuwa na shaka sana.Msimuliaji ni Mkongo hivyo anatafuta ndugu wengi kwa mkupuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msimuliaji ni Mkongo hivyo anatafuta ndugu wengi kwa mkupuo.
Hii inahusu TBC kurusha historia ambayo huenda si sahihi, italeta picha gani kwa nchi.Wewe jua tu kwamba wapo Mbeya. Ukisikiliza masimulizi ya Wanyakyusa kuhusu asili ya ni uongo mtupu. Kila mmoja anasimulia ajuavyo, wengine wameshaanza kudai eti walitokea Lupaso...
Huyo kijana ni Mkongo, analazimisha wanyakyusa wote wawe wakongo kama yeye.Hapana ni kijana wa kinyakyusa anajiita chifu, hapa hoja ni TBC kurusha jambo ambalo huenda si sahihi, msimulizi angesema wametokea kusini kupitia Malawi nisingekuwa na shaka sana.
Kama alivyosema mkuu proxy ni kuwa wanyakyusa kuhusiana na wamalawi kwa lugha au tamaduni haimaanishi kuwa wana asili moja, hayo yote huchangiwa zaidi na mazingira waliyofikia na kuadopt lkn origin yao inabaki pale pale.Hapana ni kijana wa kinyakyusa anajiita chifu, hapa hoja ni TBC kurusha jambo ambalo huenda si sahihi, msimulizi angesema wametokea kusini kupitia Malawi nisingekuwa na shaka sana.
Mimi niliwahi kuhadithiwa na late babu yangu kwamba baba zake walitoka South Africa.
Kwahiyo wandali na wanyakyusa wametoka South,wakatua Rungwe,wengine wakaenda undali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamalawi wa kaskazini na wanyakyusa walitoka kusini mwa Afrika, wamalawi waliishia Malawi na wanyakyusa waliendelea na safari na kusambaa Kyela mpaka Rungwe, vinginevyo tuaminiwalitoka Kongo?Kama alivyosema mkuu proxy ni kuwa wanyakyusa kuhusiana na wamalawi kwa lugha au tamaduni haimaanishi kuwa wana asili moja, hayo yote huchangiwa zaidi na mazingira waliyofikia na kuadopt lkn origin yao inabaki pale pale.
Hii inakaribiana na ukweli kwani kusini kuna watu wanaishi kwa kilakitu kama wanyakyusa.Mimi niliwahi kuhadithiwa na late babu yangu kwamba baba zake walitoka South Africa.
Kwahiyo wandali na wanyakyusa wametoka South,wakatua Rungwe,wengine wakaenda undali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa ukweliHii inakaribiana na ukweli kwani kusini kuna watu wanaishi kwa kilakitu kama wanyakyusa.
Wamalawi na wanyakyusa walitoka kusini mwa Afrika, wamalawi waliishia Malawi na wanyakyusa waliendelea na safari na kusambaa Kyela mpaka Rungwe, vinginevyo tuaminiwalitoka Kongo!?!?!?wakapita wapi mpaka Morogoro ambako note huko hawakuaacha manyoya mpaka wakapanda milima ya Livingstone na kufika Rungwe kisha wengine waliendelea mpaka Malawi! Bado ninahitaji kujua zaidi.
Wikipedia! Siyo sehemu sahihi kwa mtu makini.
Heee! Kumbe humu JF of GT's wamo maprince! Wewe ni mtu mkubwa sana unahitaji walinzi tena waliobobea.Mwaseba ndo mke wa CHief pale Mwakaleli enzi hizo. Historia inasema huyu alitoka huko nilotian kipindi cha vita ni ukoo wa Queen Sheba,alitoroka na walinzi na walifika Morogoro,then wakateremka mdogo mdogo Songea, then safari ikaishia Mwakaleli.
Chief akaokota dodo akaoa.
Ndo wakaitwa Mwaseba,yaani watoto wa Sheba.wapo mpaka leo
Ndo mana Chief alikua mkali kweli kwa mabeberu wajerumani.
Mi ni wa ukoo huo. Kwenye vitukuu nimo