Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kumbu kumbu zitunzwe kwa wote waliowasaliti watanzania kwa kuhamia ccm eti kuunga juhudi mkono mnaunga juhudi gani nyie wasaliti? Huu ni muda wa kuiangusha ccm kwa gharama yoyote nchi isonge mbele nyie mnaenda kuiunga mkono !!?
Enyi wajuvi wa uandishi wekeni kumbukumbu siku yaja
Enyi wajuvi wa uandishi wekeni kumbukumbu siku yaja