SOORI MBISE
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 152
- 106
Kwanini hii historia haifundishwi shuleni? Nimekutana na hii nikapenda kushare nanyi wanasiasa. kunajambo la kujifunza hapa. Kuna watu wanasema kuwa uhuru ulianza kudaiwa na watu wapwani especial wa Dar es salaam. Sasa waseme kam hii haikuwa struggle for independence. Kuna watu waliquestion uhalali wa Krilo Japhet kupewa nishani na JK kwenye kuadhimisha miaka 50 ya uhuru.