Echazzy
Member
- Jan 20, 2018
- 65
- 67
[emoji117]Pichani anaitwa Martin Pistorious jina lake maarufu ni Ghost boy raia wa Africa kusini anaishi katika mji wa johanesburg.
[emoji116]Mnamo mwaka 1988 Martin ali ugua kwa ugonjwa wa T.B na Crypococcal meningitis
baada ya kupelekwa hospitali hali yake ili badilika ghafla na kupoteza fahamu kwa muda wa miaka 12 hakuweza kufanya chochote kwa muda huo na alikuwa ana saidiwa kupumua kwa mashine.
[emoji117]baada ya miaka 12 kupita Martin ali zinduka ghafla na cha ajabu aliwasimulia yote waliokuwa wana yaongea kumuhusu yeye kwa mda wote aliopoteza fahamu.
Ikiwemo maneno ya mama ake ambapo ali mwambia daktari [emoji117]Anatamani martin afe tu kwa sababu hakuna matumaini ya kupona na kama ina wezekana ali muomba daktari akatishe uhai wa martini lakini daktari alikataa kwasababu hakuna sheria hiyo nchini apo isipo kuwa kwa mapendekezo ya mgonjwa mwenyewe.
Na mengine mengi ali wasimulia walio yaongea kipindi yeye alipo kuwa amepoteza fahamu.