Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B.
Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens zinashiriki kwa mara ya kwanza kabisa katika fainali za Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20. Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Brazil, Canada na England.
Mchezo dhidi ya Brazil unatarajiwa kuwa mtihani mkubwa kwa vijana hao wa Tanzania, huku kocha Bakari Shime akisisitiza utayari wa timu yake na dhamira ya kwenda Poland kufanya vizuri na kuweka alama katika historia ya mashindano hayo.
NIA🇹🇿💪