Historia inaonyesha matajiri wa muziki huwa hawaachi kitu, Zuchu ajiangalie

Historia inaonyesha matajiri wa muziki huwa hawaachi kitu, Zuchu ajiangalie

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Zuhura Kopa ajulikanaye kama ZUCHU, juma moja lililopita alifanya show Mlimani City hall, ilikuwa mbaya lakini kwa kuanzia siyo mbaya kwakuwa kila mtu huanzia chini na kupanda polepole.

Vijana wa mjini wamekuwa na maswali mengi hasa pale mtoto huyu ambaye haijulikani kama "bado bikra ama kishatolewa" kutokana na kujichanganya kwa "Simba mla watu" yaani "chibu dangote"

Historia inaonyesha matariji wa muziki huwa hawaachi kitu, tena wanakufanyia wakikwambia ili sauti ikae vyema.

Mfano R.Kelly, Diamond alimla Jojo, WE-eema, Zari, Yule mkenya, Natasha, , Barnaba, Ali kiba na wengine wamekuwa wakifanya hivyo.
Tukumbuke Kanumba na Lulu, tena Lulu akiwa na miaka 13 tu.

Mtoto huyu ajiangalie tu

Zuhura Kopa, better known by her stage name Zuchu, is a Tanzanian musician, songwriter and Recording Artist Signed Under WCB Wasafi Records label Diamond Platnumz leadership. Zuchu is best known by her song "Wana", which introduced her to the world of music. The addition of Zuchu brings the number of artistes at WCB Wasafi label to six...


Zuhura Kopa
Also known asZuchu
Born2000 - Dar es Salaam,Tanzania
GenresBongo flava, afro-pop
Occupation(s)Singer-songwriter, dancer
InstrumentsVocals
Years active2020–present
LabelsWCB Wasafi
Associated actsDiamond Platnumz, Khadija Kopa, Rayvanny, Mbosso
 
Acha atafunwe mkuu, ni miongoni mwa hatua nzuri katika uchumi wa kati.

"Sisi wanaume wa mkoani, tunampongeza raisi Magufuli kwa kusaidia nchi kuingia uchumi wa kati, hivyo, tumeongeza kiwango cha bao kwa wake zetu kutoka bao tano kwa siku, hadi saba."
 
We mleta mada upo dunia ya ngapi mbona wengi tu tunataarifa za msiba wa taifa ila wewe bado unaandika mada za kibikra?
 
Acha afaunwe mkuu, ni miongoni mwa hatua nzuri katika uchumi wa kati.

"Sisi wanaume wa mkoani, tunampongeza raisi Magufuli kwa kusaidia nchi kuingia uchumi wa kati, hivyo, tumeongeza kiwango cha bao kwa wake zetu kutoka bao tano kwa siku, hadi saba."
Aiseee!!!!
 
Jaji mfawidhi njoo pm kwangu tuyajenge mama hayo mambo yao tuwaachie wenyewe
 
Kazaliwa 2000? Nmeishia hapo?.

BTW nataka kujua je kutakuwa na kupumzka nyumbani siku hizi za maombolezo au ni kazini tunaenda?
 
acha nyegee mto uzi.ata akitolewa bikra sio yako ni yake
 
Back
Top Bottom