Historia inaonyesha matajiri wa muziki huwa hawaachi kitu, Zuchu ajiangalie

Heeeh ni 2000? Au sijaona vizuriii? Mmmmh
 
Lazima atumike huyo maisha ya kibongo ni jambo la kawaida sana hilo.
 
Tumeambiwa tukajaze nchi, na isitoshe hata Mkulu wetu huwa anahimiza Watu wasibanie mayai......tuige mfano wa Kiba, Mondi wanavyototolesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…