Historia inaweza ikaandikwa mwaka 2025

Vitumbua vyenyewe sasa vinapikwa bila Sukari. Dr Janabi ataspin vipi hapa.
 
Ukweli mtupu. Ndani ya utawala wa Mama mambo mengi ya ovyo yameibuka kwa kasi ya ajabu.
Mambo makubwa kabisa katika hayo ni pamoja na ukosefu wa umeme ambao ndo mhimili mkuu katika shughuli za uzalishaji mali na huduma mbalimbali.
Kwa kweli katika hilo Mama amefeli kwa kiwango cha kimataifa.
Itakumbukwa wakati wote wa utawala wa JPM umeme haukusumbua sana bila kujali ni kiangazi au masika.
Lakini siku hizi mvua zinanyesha sana lakini bado umeme ni shida.
Hata mimi siwezi kupoteza muda kumchagua yeye, labda wamlete mwingine mwenye uchungu na maisha duni ya watanzania, lakini siyo huyu. Ameshindwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…