kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wamarekani wamekataa kunza historia ya kutawaliwa na England. Walifanya ivyo ili kuwafanya watoto wao wasijione dhaifu dhidi ya waingereza. Baadhi ya mambo waliyoyabadilisha ni pamoja na kutumia kiingereza tofauti na waingereza, kuweka usukani wa magari kushoto (LHD), kupita kulia badala ya kushoto, umeme na vifaa tofauti vya umeme, na kuvunjavunja maeneo na majengo yaliyokuwa ya mateso na udhalilishaji kwa wamarekani weupe.
Je, sisi tunahitaji kuzituza historia za utumwa na sehemu zilizokuwa za kunyongea watanzania?
Je, sisi tunahitaji kuzituza historia za utumwa na sehemu zilizokuwa za kunyongea watanzania?