Historia itasomeka hivi: hapo zamani za kale serikali ya Tanzania...ilitaka wananchi wake waipigie kura ya maoni Katiba inayopendekezwa tarehe 30/04/2015, maaskofu na ukawa wakatia ngumu, na zoezi likasitishwa kwa shingo upande na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC).