Umesema kweli mkuu nakumbuka muimbaji mmoja alisema hapa mjini nenda pole pole . Haya ngoja tuwaache wenyewe wa mujini wajadili lolHa ha haaaa.. mji wa watu huu síe wakuja inabidi tutembee kwa step, sio unakuta waliozaliwa Muhimbili vitovu vyao vikafukiwa Kinondoni afu wamekulia Ilala wanaongea stori zao na wewe unaingia kichwakichwa.. inabidi uwe mpole kwanza..
Kumbe mji huu una wenyewe hakika mimi sikujua nilidhani mradi ushaingia na kupanda dala dala basi na wewe wa mjini kumbe mpaka uwe registered. Asante kwa kunijuza mwee.Kweli mkuu... Mji una wenyewe huu...
Jibu lilishapatikana la maana ya Kibasila na St Xavery sasa wewe saa 9:38 usiku wa manane unatafuta nini wakati wenyewe wa Kibasila tumeshawasiliana hata waliopotea kupitia JF ? km una maana ingine ungeweka basi ili tuchangieMtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
nichekesha sana mku, achana na kiktu inaitwa mtanzaniaMtu anataka kufahamishwa historia ya jina hilo lakini naona wanafunzi waliosoma hapo nao hawajui zaidi ya kutaja majina ya Guest na kutuma salamu kwa wanafunzi wenzao ambao wengine marehemu tayari. Kweli Mtanzania ni Mtanzania tu.
Aahh yaani kila kitu bure msosi ulikua wa nguvu ,nakumbuka tulilipa ada sh 750 lol siku hazigandi nauli ya mwanafunzi ilikua sh 1 . Tulinyanyaswa na makonda jamani.