Historia Medeama na Yanga walipokutana 2016

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mwaka 2016 kwenye CAF Confideration Cup Yanga walikutana na Medeama kwenye kundi moja.

Kundi hilo lilikuwa na timu nne ,Tp Mazembe, Yanga, Mo Bejaia na Medeama.

Kwenye msimamo
Tp Mazembe aliongoza kwa points 13
Medeama points 8
Mo Bejaia points 8
Yanga points 4

............................
Head to head Yanga Dar es salaam alipata draw ya 1-1
Na kwenye mechi ya marudiano Ghana Medeama alishinda kwa 3-1.

Waliofuzu hiyo kundi iliksuwa Tp Mazembe na Medeama.
 
Yani we jamaa unsipenda Sana yanga inavyoelekea ukilala unaiota kabisa, yani kiiiila siKu kuiandika yanga utadhani wamekuolea dada yako.

Huwezi kuandika jambo lolote bila kuihusisha yanga we kolo. Hamia huku unavyoonekana bila yanga huwezi andika chochote yani. Tokea mpigwe 5 akili zimewavurugia sn na unaifuatilia Sana yanga. Hamia huku kolo.
 
Sasa kuna mtu anaeandika thread za timu ya Simba kama huyu Utopolo Labani og ? Mbona kawaida tuu waache tuu ndo utani unanoga...
 
Mkuu hiyo ni takwimu na historia sasa kosa langu ni lipi hapa,tunajuzana tu we una uhuru wa kuleta hata uchambuzi wa ushindi wako wa goli 5 hakatazwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…