Historia Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr.”I Have a Dream”

Historia Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr.”I Have a Dream”

Kibwebwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
826
Reaction score
261
Maelfu ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali wamejitokeza kwa wingi jijini Washington DC Siku ya Jumamosi Aug 24, katika maandamano ya kuunga mkono kumbukumbu ya historia Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr.”I Have a Dream” speech Siku ya Aug, 28, 1963

Maandamano hayo makubwa yaliofanyika National Mall yaliambatana na hotuba mbalimbali za wanaharakati, na viongozi wakupigania haki mbalimbali za kiraia nchini Marekani, kulisomwa hutuba mbalimbali na mwanasheria mkuu wa Serikali Eric Holder, Ufunuo Al Sharpton; Rep John Lewis, D-Ga;. Nyumba Minority Kiongozi Nancy Pelosi, D-Calif;. House Minority Whip Steny Hoyer, D-Md; Myrlie Evers-Williams, mjane wa waliouawa mwanaharakati wa haki za kiraia Evers MEDGAR; Newark, NJ, Meya na New Jersey Kidemokrasia Seneti mgombea Cory Booker; Mama wa Trayvon Martin, na viongozi wa makundi ya kiraia-haki za binadamu.

Kumbukumbu ya Hutuba ya Dream” speech ilitolewa mwenzi wa Aug. 28, 1963 ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi pamoja na wanaharakati mbalimbali waliokusanyika Lincoln Memorial Washington DC wakitoa hotuba ya Historia March Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr.”I Have a Dream” speech.

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=109118&stc=1&d=1377501421
Picha ya kumbukumbu ya historia ya mwanaharakati Martin Luther King Jr. alipokua akitoa hotuba ya “I Have a Dream” speech Aug. 28, 1963

picha mbalimbali za maandamano hayo.

https://www.jamiiforums.com/attachm...?attachmentid=109127&stc=1&d=1377502580137984
 

Attachments

  • wana nch 1.jpg
    wana nch 1.jpg
    58.4 KB · Views: 154
  • wana nch 2.jpg
    wana nch 2.jpg
    100.1 KB · Views: 136
  • wana nch 3.jpg
    wana nch 3.jpg
    93.7 KB · Views: 142
  • wana nch 4.jpg
    wana nch 4.jpg
    70.3 KB · Views: 128
  • wana nch 5.jpg
    wana nch 5.jpg
    61 KB · Views: 132
  • wana nch 7.jpg
    wana nch 7.jpg
    88.8 KB · Views: 139
  • wana nch 8.jpg
    wana nch 8.jpg
    76.3 KB · Views: 124
  • wana nch 14.jpg
    wana nch 14.jpg
    96.1 KB · Views: 130
Hizi ni kumbukumbu za wanaharakati muhimu sana katika ulimwengu wa mtu mweusi. Waliokuwa na ustaarabu na ubinadamu wa kukumbuka kuwa upendo ndiyo jibu la kila kitu
 
Back
Top Bottom