Miaka yote ilianza kuesabiwa wakati wa jesus i mean yesu alipozaliwa ndio uliokuwa mwaka wa kwanza ndo mana chrismas na mwaka mpya viko pamoja xo mwaka huu ni 2013AD(anno domino) means after christ.so huu ni mwaka wa 2013 baada ya yesu kuzaliwa.na BC(before christ)nayo pia ilianza kuesabiwa yesu alipozaliwa ila xa yenyewe ni kurudi nyuma ndo maana ya kabla ya yesu.na iyo ndo sababu pia waislam hawakubalian na hii miaka.weenyewe wanaesabu yao kutokana na mtume
ufafanuzi zaidi....wewe una miaka 11,mdogo wako(tumuite tony) ana miaka 5.je wewe umezaliwa miaka mingapi KABLA YA TONY?umesema 6 enhe?umejuaje kama ni 6?umeanza kuhesabu kuanzia mwaka aliozaliwa tony kwenda kinyumenyume enhe?hivyo ndivyo inavyohesabiwa miaka kabla ya kristo(bc)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.